Message # 1 | 12:04 PM
Mi kusema kweli ni mswahili maana hii ndiyo lugha niliyojifunza tangu utotoni. Ningetamani Kujua ikiwa kunao wengine wanaoweza kusungumza lugha hii yetu hapa